Skip to main content
Skip to main content

Walimu wakataa kujilipia matibabu kupitia bima ya SHA

  • | Citizen TV
    359 views
    Duration: 1:27
    Chama cha kutetea maslahi ya walimu nchini KNUT, kimepuuza agizo la serikali la kutaka walimu wote kugharamia matibabu yao kupitia bima ya afya ya SHA. Viongozi wa KNUT wakidai mamlaka ya SHA imeshindwa kulipa gharama za matibabu kupitia bima ya kitaifa. Katibu wa chama cha KNUT kaunti ya Bungoma Robert Mandila, akizungumza na wanahabari katika afisa yake mjini Webuye, ameitaka serikali kukoma kuingilia jukumu la bima ya afya ya walimu , na kuiachia tume ya TSC majukumu yake.