Walimu Wakuu wa shule wakongamana mjini Mombasa

  • | Citizen TV
    119 views

    Kongamano la walimu wakuu linang'oa nanga hii leo kaunti ya Mombasa. Zaidi ya walimu wakuu 7,000 wanakutana kujadili mstakabali wa elimu wakati ambapo kumekuwepo na changamoto ya fedha.