Walimu wakuu wa shule za kibinafsi wanakutana Mombasa

  • | Citizen TV
    438 views

    Kongamano la walimu wakuu na wakurugenzi wa shule za kibinafsi linaendelea huko mombasa. Zaidi ya walimu wakuu 10,000 wanakutana kujadili mikakati ya kuboresha elimu na kupunguza gharama ya elimu nchini. Francis Mtalaki anaungana nasi mubashara kw amaelezo zaidi kutoka mombasa.