Walimu wakuu wa shule za msingi wameitaka serikali iwekeze zaidi katika miundomsingi

  • | K24 Video
    38 views

    Walimu wakuu wa shule za msingi wameitaka serikali iwekeze zaidi katika miundomsingi ya shule za msingi ili kurahisisha ufanisi wa sekondari ya ngazi ya chini katika shule hizo wameyasema haya wakati wa kongamano lao la kila mwaka huko Mombasa wakati huo huo wabunge wametakiwa kutumia sehemu ya fedha za CDF kutekeleza CBC katika maeneo bunge.