Walimu wakuu wa shule za Nyambaria, Nyamira wasimamishwa kazi kufuatia madai ya udanganyifu wa KCSE

  • | Citizen TV
    3,021 views

    Baadhi ya wasimamizi wa vituo vya mitihani wamesimamishwa kwa muda kufuatia madai ya kuhusika katika njama za udanganyifu kwenye mitihani. Katibu Mkuu wa Elimu Belio Kipsang amesema haya alipoongoza shughuli ya kufungua kontena ya mtihani huko Shanzu kaunti ya Mombasa. Japo hakuwataja, duru zinaarifu kuwa mwalimu mkuu wa shule ya Nyambaria pamoja na mkurugenzi wa kaunti ndogo ya Manga, kaunti ya Nyamira amesimamishwa kazi kwa muda kufuatia madai hayo