Walimu wakuu wapuuza uchaguzi wa KESSHA huko Mandera

  • | Citizen TV
    184 views

    Baadhi ya wakuu wa shule za upili kutoka kaunti ya Mandera wamesusia uchaguzi wa chama cha wakuu wa shule KESSHA wakisema uchaguzi huo haikufuata utaratibu wa katiba ya chama hicho.