Walimu walalamikia hali ya kutopandishwa vyeo na TSC

  • | Citizen TV
    591 views

    Chama cha walimu wa sekondari na vyuo (KUPPET) kimetishia kuelekea mahakamani kushtaki tume ya kuajiri walimu TSC kwa madai ya utepetevu katika mchakato wa kupandisha vyeo walimu nchini.