7 Nov 2025 10:13 am | Citizen TV 104 views Duration: 1:27 Walimu chini ya muungano ya walimu KNUT wamelalamikia kuendelea kuwepo kwa mfumo wa kuwahamisha walimu kufanya kazi mbali na makazi yao, licha ya bunge la kitaifa kuondoa utaratibu huo.