Walimu walalamikia nyongeza ya shilingi 29, maisha magumu ya SHA

  • | Citizen TV
    4,719 views

    MKUU WA MAWAZIRI, MUSALIA MUDAVADI ALIJIPATA PABAYA BAADA YA MWALIMU MMOJA KUMPASHA WAZI MADHILA YA WALIMU NCHINI KWENYE MKUTANO KATI YA MAAFISA WAKUU WA SERIKALI NA WALIMU. MWALIMU HUYO ALIRATIBU CHANGAMOTO BAADA YA NYINGINE AMBAZO ZINAWATATIZA WALIMU IKIWEMO NYONGEZA YA MISHAHARA YA SHILINGI 29 PEKEE NA MAHANGAIKO YA SHA.