Walimu waliostaafu waisuta serikali dhidi ya malipo yao

  • | K24 Video
    38 views

    Zaidi ya walimu elfu 53 waliostaafu kuanzia mwaka wa 1997 humu nchini wamekashifu serikali kwa kile wametaja kuwa ni ukosefu wa uaminifu katika kuwalipa deni lao la shilingi bilioni 43. Hii ni kufuatia waziri wa fedha Njuguna Ndungu kutangaza tarehe 19 mwezi huu kuwa serikali imetoa shilingi bilioni 16 kuwalipa walimu waliostaafu