Pamoja na kuwa ni kiziwi, Anneth Isaya ameweza kusoma hadi kuhitimu chuo Kikuu cha Dar es Salaam na sasa anasomea shahada ya uzamivu na ni Mkurugenzi wa taasisi ya wajasiriamali viziwi-FUWAVITA
Alipata hali hiyo akiwa na umri wa miaka mitano lakini aliweza kupata elimu hadi ya chuo kikuu.
Je safari yake ilikuwaje?
Tazama
#bbcswahili #waridiwabbc #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
12 Jul 2025
- Four crew members of a cargo ship attacked and sunk by Yemeni rebels earlier this week are presumed dead, an EU naval force said Friday, with search operations ongoing in the Red Sea.