Skip to main content
Skip to main content

Walimu wanaougua magonjwa sugu bado wakosa matibabu chini ya bima ya SHA

  • | Citizen TV
    499 views
    Duration: 2:33
    Miezi mitatu baada ya walimu kote nchini kuhamia bima ya SHA, walimu wanaougua magonjwa sugu kama vile saratani bado wanakosa matibabu. Baadhi ya hospitali za kibinafsi bado hazijaweka mkataba na bima ya sha. Mjini mombasa ni hospitali tatu pekee zinazotoa matibabu hayo chini ya sha. Chama cha kuppet kinadai walimu watatu wamefariki kwa kukosa matibabu