27 Feb 2026 1:24 pm | Citizen TV 519 views Duration: 2:03 Walimu katika eneo bunge la Yatta wameandamana na kuzifunga Ofisi za KNUT tawi la Yatta wakidai kiongozi wao si mwalimu na aliongoza uchaguzi usio halali hivi majuzi na kuzuia walimu wengine kuwania nafasi hiyo.