Walimu wasisitiza mgomo ungaliko

  • | KBC Video
    10 views

    Wakati huo huo, masomo ya muhula wa tatu katika shule za upili za umma bado hayajaanza huku chama cha walimu wa sekondari na vyuo kikisimama kidete kwamba walimu wataendelea kugoma. Katibu mkuu wa chama hicho Akelo Misori amesema walimu watarejea madarasani pale tu serikali itakaporidhia utekelezaji wa mkataba wa maelewano ambao unaangazia malalamishi yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive