Walimu watabasamu baada ya kuongezwa mshahara

  • | KBC Video
    58 views

    Tume ya kuwaajiri walimu,TSC na vyama vya walimu zimetia saini mkataba mpya wa makubaliano ya pamoja ambao utatekelezwa katika kipindi cha mwaka 2025-2029. Kupitia mkataba huo wa mwaka 2025/2026 , shilingi bilioni 1 zitatumiwa katika mchakato wa kuwapandisha cheo waalimu kote nchini. Walimu 76,000 wapya wataajiriwa na shilingi milioni 950 kutumika kuwapa walimu wa shule za senior mafunzo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive