Walimu watatu wafikishwa mahakamani Kisii hii leo

  • | Citizen TV
    711 views

    Walimu watatu waliokamatwa kwa kumjeruhi mwanafunzi wa shule ya upili ya Nyabisia kaunti ya Kisii wamefikishwa mahakamani leo na kukanusha mashtaka yaliyowakabili