Walimu watishia kuhama Elgeyo Marakwet iwapo hawatapewa marupurupu

  • | Citizen TV
    95 views

    Wanachama Wa Kuppet Katika Kaunti Ya Elgeyo Marakwet Wametishia Kuhama Kutoka Kaunti Hiyo Iwapo Tume Ya Kuratibu Mshahara Ya Wafanyikazi Wa Umma Src Haitahusika Katika Mjadala Unaoendelea Kuhusu Kuondolewa Kwa Marupurupu Ya Pesa Ambazo Wanapokea Kukidhi Mahitaji Ya Walimu Wanafanya Kazi Katika Sehemu Zenye Hali Ngumu.