Walimu zaidi ya 7,000 wahudhuria kongamano la kuboresha sekta ya elimu katika jiji la Mombasa

  • | Citizen TV
    94 views

    Kongamano la walimu wakuu limeng'oa nanga rasmi hii Leo kaunti ya Mombasa. Walimu zaidi ya 7,000 wanakongama huku wakijadili mikakati ya kuboresha sekta ya elimu. Baadhi ya masuala yanayojadiliwa ni ufadhili wa vitabu pamoja na shule kukumbatia uhifadhi wa mazingira kwani inadaiwa asilimia 9 ya ukataji wa misitu au miti umechangiwa na utumiaji wa kuni kupikia katika shule