- 357 viewsDuration: 2:43Chama cha walimu wa sekondari na vyuo vya kadri tawi la Homa bay KUPPET kinasema serikali imekosa kuwajibikia matakwa yao kikamilifu. Walimu hawa wanatisha tutorejea shuleni' iwapo serikali haitatimiza madai yao yakiwemo uhuru wa JSS na matatizo ya bima ya afya ya SHA.