Walinda mbuga watuzwa Narok

  • | Citizen TV
    60 views

    Sherehe za siku ya Kimataifa ya walinzi wa mbuga zilifana Maasai Mara, Gavana wa narok Patrick Ole Ntutu akipongeza askari wa mbuga kwa udumishaji sheria msimu huu wa kivutio cha nyumbu wanapovuka mto Mara