- 9,234 viewsDuration: 1:53Kwa miongo kadhaa, watoto waliozaliwa karibu na kambi ya kijeshi ya Uingereza nchini Kenya waliishi bila majibu na bila kuwajua baba zao. Sasa, kwa mara ya kwanza katika mahakama za familia za Uingereza, hifadhidata za DNA pamoja na hatua za kisheria zinasaidia Wakenya kuwabaini na kuwasiliana na baba zao. #bbcswahili #kenya #Uingereza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw