Walinzi wa mbuga washerehekea matunda ya kazi yao baada ya wanyama pori kuongezeka

  • | Citizen TV
    202 views

    walinzi wa wanyamapori, wakijumuisha maafisa wa kws, maafisa wa kulinda misitu na walinzi wa hifadhi za wanyamapori kutoka kaunti mbalimbali walijumuika pamoja kusherehekea hatua walizopiga katika kupunguza mzozo kati ya wanyamapori na binadamu na vile vile kupunguza visa vya uwindaji haramu nchini. kwenye sherehe ya maadhimisho ya siku ya ulinzi wa wanamapori duniani, walinzi hao walionyesha matumaini ya kukomesha migogoro na ujangili ili kuongeza idadi ya wanyamapori duniani.