Walio na ulemavu wataka kujumuishwa kwenye miradi ya kitaifa

  • | KBC Video
    6 views

    Ilikuwa ibada ya jumapili isiyo ya kawaida katika kanisa la Presbyterian Church of East Africa Kariobangi South jijini Nairobi.Nyimbo, matangazo na ibada zilifanywa katika lugha ya ishara kama hatua ya kuwajumuisha kwa ibada watu walio na ulemavu hasa viziwi na bubu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive