Waliobugia pombe hatari wazungumzia hali yao

  • | Citizen TV
    432 views

    Manusura wa pombe haramu iliyowaua watu wanne kaunti ya Migori wanaendelea kupata matibabu katika vituo mbalimbali vya matibabu.