Skip to main content
Skip to main content

Waliobwagwa kwenye mchujo wa wagombea ODM walalamika Busia

  • | Citizen TV
    323 views
    Duration: 1:19
    Viongozi wapya wa chama cha odm katika kaunti ya busia wamepuuza malalamishi ya hivi majuzi ya wizi wa kura katika uchaguzi wa chama hicho huku wakisema kuwa tayari wameanzisha mikakati ya kuboresha chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027.