- 473 viewsBaadhi ya waliojeruhiwa wakati wa maombolezi ya hayati Raila Odinga uwanjani Kasarani wanaiomba serikali kuwasaidia kulipa gharama ya hospitali na fidia kwa waliwaopoteza wapendwa wao. Vivian Susan Mahebo alipigwa risasi mbili huko Kasarani na tangu siku hiyo maisha yake yamekuwa magumu