Waliojeruhiwa kwenye maandamano walazwa KNH

  • | Citizen TV
    1,116 views

    Baadhi ya waandamanaji waliojeruhiwa wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali mbalimbali nchini. Hata hivyo, katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta, vijana 47 walio na majeraha mbalimbali wanaendelea kutibiwa kwa majeraha mbalimbali ya risaisi na wengine kutandikwa. Runinga ya Citizen ilimudu kuzungumza na baadhi ya vijana wanaoendelea kutibiwa