Waliojeruhiwa wakati wa maandamano walitumia fursa leo kuwasha mishumaa wakiwa wodi

  • | Citizen TV
    2,679 views

    Katika kaunti ya Kisumu, baadhi ya watu waliojeruhiwa wakati wa maandamano ya upinzani juma lililopita walitumia fursa ya leo kuwasha mishumaa ya ukumbusho kuungana na wenzao wa upinzani waliokuwa wakiomboleza. hata hivyo, baadhi ya waathiriwa wameendelea kudai haki kwa maafisa wa usalama waliosababisha maafa kwao na wenzao