Waliojidai maafisa wa EACC wakamatwa

  • | K24 Video
    46 views

    Washukiwa watano akiwemo afisa wa polisi walitiwa mbaroni mjini kitui kwa kujidai kuwa maafisa wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi. Washukiwa hao walinaswa baada ya kujaribu kumlaghai afisa mkuu wa kitengo cha fedha wa kaunti ya Kitui.