Waliokuwa Kakuma walazimika kurejea kambini kwao

  • | Citizen TV
    777 views

    Wakimbizi 183 kutoka kambi ya kakuma walioahidiwa kutolewa nchini kupelekwa Ujerumani wamelalamikia kurejeshwa kambini baada ya serikali ya ujerumani kusitisha kuhamishwa kwao hadi taifa hilo. Wakimbizi hao waliokuwepo jijini nairobi kwa muda wa wiki tatu walirejeshwa siku ya jumatano kufuatia uamuzi ambao unadhihirisha wazi changamoto wanazokabiliana nazo wakimbizi ikiwemo upungufu wa ufadhili.