Waliokuwa wakibugia pombe waasi tabia ya kunywa

  • | Citizen TV
    807 views

    Walikuwa na kazi na nafasi ya kutengeza maisha mema ya baadaye, lakini uraibu wa pombe uligharimu yote hayo, na kuwafanya waraibu ambao hawakuweza kujikimu wao wenyewe na hata familia zao. Baadhi ya wafanyakazi wa umma waliopoteza kazi zao wakiwa miongoni mwa walionufaika na mpango wa kutoa matibabu kwa waraibu wa vileo.