Waliokuwa waraibu wafunga ndoa Githunguri

  • | KBC Video
    9 views

    Juhudi za kumrekebisha mtoto wa kiume kutokana na uraibu wa dawa za kulevya na pombe zilizoanzishwa na mkewe naibu wa rais Mchungaji Dorcas Rigathi zimezaa matunda baada ya waraibu wawili wa zamani kufunga ndoa katika harusi ya kufana iliyoandaliwa katika kanisa la PCEA Raiyani katika kaunti ndogo ya Githunguri kaunti ya Kiambu. Fidelis Njeri na Simon Kihara ambao walikutana kupitia mpango wa kijamii wa kurekebisha tabia mnamo 2021. Mpango huo ulianzishwa na mkewe rais mchungaji Dorcas Rigathi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive