Skip to main content
Skip to main content

Walionusurika Biafra wasimulia makovu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Nigeria

  • | BBC Swahili
    3,217 views
    Duration: 26:29
    Zaidi ya miaka 50 baada ya Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Nigeria, walionusurika bado wanaishi na kumbukumbu za janga la kwanza la kibinadamu kuonyeshwa moja kwa moja kwenye televisheni duniani. Vita hivyo, vinavyojulikana kama Vita vya Biafra, vilisababisha vifo vya kati ya watu laki tano na milioni tatu, huku nusu ya waliopoteza maisha wakiwa watoto. Sasa, katika mahojiano maalum na BBC Africa Eye, baadhi ya wanajeshi wachache waliobaki hai wamezungumzia kipindi hicho cha vita, ikiwemo mapambano ya kudhibiti rasilimali za mafuta yaliyovutia ushiriki wa Uingereza, na kueleza jinsi athari za vita hivyo zinavyoendelea kuonekana nchini Nigeria hadi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw