Waliosambaza bidhaa NYS hawajalipwa kwa miaka 8 sasa

  • | Citizen TV
    617 views

    Wafanyabishara waliosambaza bidhaa kwenye idara ya Huduma kwa vijana Wa taifa (NYS) miaka minane iliyopita, bado hawajalipwa.