Waliovunja sheria wakati wa kukamatwa kwa Natembeya wamulikwa

  • | KBC Video
    232 views

    Tume ya maadili na kupambana na ufisadi ikishirikiana na idara ya upelekezi inawachunguza wanasiasa kadhaa kutoka magharibi mwa nchi, wanaoaminika kuhusika na wizi na uharibifu wakati maafisa wa tume hiyo walipovamia makazi ya gavana wa kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya siku ya jumatatu. Tayari washukiwa 14 wamekamatwa kuhusiana na tukio hilo. Mwenyekiti wa tume ya EACC Dr David Oginde, amesema kwamba vijana waliozua vurugu walinuia kuharibu ushahidi kuhusiana na sakata ya ubadhirifu wa shilingi bilioni 1.4 inayomkabili gavana huyo na maafisa wengine wa serikali ya kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive