"Walisha jaribu kuniua" anasema Erick Kabendera

  • | BBC Swahili
    Hii ni sehemu ya kwanza ya vitisho katika maisha ya Erick Kabendera kabla ya kukamatwa. Hapa amezungumza kwa kirefu na mwandishi wa BBC Zuhura Yunus.