Wamalwa adai njama ya mapinduzi chamani

  • | Citizen TV
    7,126 views

    Kulikuwa na hali tete leo katika makao makuu ya chama cha DAP-K hapa Nairobi, mgogoro wa uongozi wa chama hicho ukichipuka, huku wafuasi wa kinara wa chama hicho Eugene Wamalwa na wale wa naibu wake gavana george natembeya nusra wakabiliane