Wamama wapongezwa kwa kutunza viumbe vya majini

  • | KBC Video
    10 views

    Kina mama katika eneo la Pwani wamejitosa kimasomaso katika utunzi wa viumbe vya majini na shughuli nzima za uchumi wa baharini, shughuli ambazo hawakuwa wakichangamkia. Kutokana na usaidizi wa mashirika yasio ya serikali na taasisi za eneo hilo, wanawake hao wako msitari wa mbele kuhakikisha utumizi bora wa raslimal.i za majini na hivyo kuvunja miko ya kitamaduni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive