Wamarekani waandamana kufuatia kuvuja rasimu ya Mahakama Kuu iliyo dhidi ya utaoji mimba

  • | VOA Swahili
    5,922 views
    Maandamano kufuatia kuvuja kwa rasimu ya Mahakama Kuu kuhusu kubadili sheria ya kihistoria ya kuhalalisha utoaji mimba ya mwaka 1973 yanafanyika kote Marekani ... ... Wakati huo huo Rais Joe Biden akosoa vikali rasimu hiyo inayozusha mvutano mkubwa hapa nchini kwa wakati huu. Suala hilo linatarajiwa kuwahamasisha wapiga kura. - Umoja wa Ulaya wapendekeza hatua kali zichukuliwe dhidi ya Russia ikiwemo kupiga marufuku ununuzi wa mafuta yake na vikwazo kwa washukiwa wa uhalifu wa kivita. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.