Wametaka kuhusishwa kwa jamii katika Kubaini Ramani

  • | Citizen TV
    212 views

    Msemaji wa jamii ya Digo na waziri wa zamani Chirau Ali Mwakwere ameitaka halmashauri ya barabara kuu nchini KENHA na kamati inayosimamia ujenzi wa barabara ya Kwale-Kinango kuhusisha jamii ili kuhakikisha ramani ya barabara hiyo inafwatwa kikamilifu