Wamiliki ardhi kwenye SEZ kupokonywa iwapo hawataitumia katika miezi sita ijayo

  • | Citizen TV
    609 views

    Wizara ya biashara na viwanda imewataka wawekezaji wanaomiliki ardhi kwenye maeneo yaliyotengewa ustawi wa viwanda (SEZ) kuanza kutumia ardhi hiyo katika miezi sita ijayo la sivyo watapokonywa leseni.