22 Oct 2026 1:26 pm | Citizen TV 193 views Wamiliki wa magari wanalalamikia ubovu wa barabara nyingi katika kaunti ya Busia wakisema hali hiyo husababisha ajali nyingi na maafa. Mojawapo ya barabara hizo ni ile ya kutoka Busia kuelekea Kisumu ambayo sehemu nyingi zimeharibika .