Wamiliki wa magari tawi la Kisii waafikiana kuongeza nauli kwa asilimia 30

  • | Citizen TV
    274 views

    Viongozi wa muungano wa wamiliki wa magari tawi la Kisii ( MOA) wameafikiana kuongeza nauli kwa asilimia 30 kwa magari yote yanayotoka Kisii kuelekea sehemu mbalimbali nchini.