9 Sep 2025 1:13 pm | Citizen TV 6,783 views Duration: 1:55 Wamiliki wa magari za uchukuzi wa umma wameitaka serikali kuchukua hatua thabiti kukabiliana na uhalifu wa wahudumu wa bodaboda wa kuchoma magari yakisababisha ajali.