Wamnafunzi werevu kutoka familia masikini wasaidiwa kulipa karo

  • | Citizen TV
    130 views

    Wanafunzi ishirini kutoka shule ya kathiani kaunti ya Machakos wamepata afueni baada ya kulipiwa karo na wahisani wakiwemo wanafunzi wa zamani wa shule hiyo.wanafunzi hao ishirini wanaotegemea ufadhili wa serikali walikuwa wametumwa nyumbani kwa kukosa kulipa karo ya shule