Wanabodaboda Awendo wapinga mwingilio wa chama chao

  • | KBC Video
    1 views

    Wahudumu wa pikipiki katika eneo la Awendo wamewasuta wanasiasa kwa madai ya kuvuruga uchaguzi wa viongozi wa chama chao cha Akiba na Mikopo. Wahudumu hao waliapa kupinga vikali juhudi hizo wakisema kulazimishwa kuwachagua watu fulani na wanasiasa hao kumesababisha ubadhirifu wa zaidi ya shilingi milioni 1.62 kwenye chama hicho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive