Wanabodaboda kaunti ya Nandi wafunzwa kanuni za usalama barabarani

  • | Citizen TV
    151 views

    Wahudumu wa bodaboda katika kaunti ya Nandi wamenufaika na mafunzo ya usalama barabarani kutoka kwa mamlaka ya usalama barabarani NTSA kwa ushirikiano na wafanyabiashara wa pikipiki Watu Credit kwenye mpango uanojulikana kama tujenge msingi.. Daniel Korir Na Mengi zaidi kutoka kaunti ya Nandi