4 Jun 2026 11:07 am | Citizen TV 274 views Duration: 1:23 Serikali ya kaunti ya Mombasa yataka wahudumu wa bodaboda kuwa wavumilivu wanapojipanga kutekeleza mkataba walioweka baina yao na serikali ya kaunti.