Wanachama wa Bodi ya Leseni za vileo wazuru Lamu

  • | Citizen TV
    28 views

    Sehemu za kuuzia pombe ikiwemo maeneo ya mangwe na sehemu za burudani , katika kaunti ya lamu hazina leseni kutokana na kucheleweshwa kwa kuidhinishwa  kwa sheria ya kudhibiti vileo. ameneo mengi mnauzwa pombe haramu kama Makore,Changaa,..bodi ya kutoa leseni kwa wafanyabiashara wa vileo imezuru lamu kutathmini hali.Rahma Rashid anaungana nasi mubashara kwa mengi zaidi