Wanachama wa kamati ya fedha ya Busia wazuru Nakuru

  • | Citizen TV
    308 views

    Wanachama wa kamati ya fedha katika bunge la Busia wanazuru kaunti ya Nakuru kujifunza na kubadilishana maarifa. Wanakamati hao wanalenga kujifunza mbinu za kuimarisha utendakazi wao na haswa kufanikisha ukusanyaji ushuru.